Home » News & Politics » Familia iliyofurushwa kutoka nyumba yao eneo la Westlands yahangaikia makao

Familia iliyofurushwa kutoka nyumba yao eneo la Westlands yahangaikia makao

Written By Citizen TV Kenya on Tuesday, Nov 08, 2022 | 11:28 AM

 
Familia moja katika eneo la westlands jijini Nairobi inadai haki baada ya nyumba yao yenye thamani ya shillingi milioni 80 kubomolewa na kundi la watu wanaodaiwa kutumwa na mwekezaji mmoja.