Home » News & Politics » JEMEDARI AMJIBU MANARA/ ASITISHE WATU!/ SIOGOPI/ SHIDA NINI?/ AHMED ALLY AINGILIA!

JEMEDARI AMJIBU MANARA/ ASITISHE WATU!/ SIOGOPI/ SHIDA NINI?/ AHMED ALLY AINGILIA!

Written By Dar24 Media on Friday, Jun 10, 2022 | 10:38 AM

 
Wawili hao wamekua na bifu la muda mrefu huku chanzo kikielezwa kuwa Manara hapendezwi na uchambuzi wa Jemedari Said kupitia kituo cha EFM, hasa anapogusa mahala anapofanyia kazi, na hii ilianza tangu akiwa Simba SC. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #hajimanara #jemedarisaid #yangasc #efm