Home » News & Politics » CHEKECHE || Finland na Sweden kujiunga na NATO licha ya pingamizi na vitisho vya Urusi?

CHEKECHE || Finland na Sweden kujiunga na NATO licha ya pingamizi na vitisho vya Urusi?

Written By Azam TV on Saturday, May 14, 2022 | 02:30 PM

 
Mgogoro wa Urusi na Ukraine unazidi kuchukua sura mpya baada ya Urusi kutoa tahadhari kwa Finland na Sweden kuwa iwapo zitaendelea na jitihada za kujiunga na NATO na iwapo hilo litafanikiwa basi Urusi ataingia kwenye ugomvi na nchi hizo. Je, hili litaishia wapi? Hii ni CHEKECHE