Home » News & Politics » Wizara ya Afya ilivyomkosha Spika TULIA kwa majibu yao BUNGENI

Wizara ya Afya ilivyomkosha Spika TULIA kwa majibu yao BUNGENI

Written By Mwananchi Digital on Tuesday, Apr 19, 2022 | 09:40 AM

 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefurahia namna ambavyo Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha Godwin Mollel amekuwa akijibu maswali ya Wabunge, na kuwataa manabu Waziri wengine kumuiga.