Home » Sports » SIMBA, JESHI la POLISI WAHAKIKISHA ULINZI KWA MKAPA - ''UWANJA UPO SALAMA, ASKARI WAKUTOSHA''

SIMBA, JESHI la POLISI WAHAKIKISHA ULINZI KWA MKAPA - ''UWANJA UPO SALAMA, ASKARI WAKUTOSHA''

Written By Global TV Online on Saturday, Apr 02, 2022 | 08:57 AM

 
SIMBA, JESHI la POLISI WAHAKIKISHA ULINZI KWA MKAPA - ''UWANJA UPO SALAMA, ASKARI WAKUTOSHA'' Leo Aprili 04, 2022 Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amezungumza kuelekea mchezo wao wa marudiano dhidi ya USGN utakaopigwa katika Dimba la Mkapa, Jumapili ya Aprili 06, 2022 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye. Katika kuhakikisha usalama wa mashabiki na amani uwanjani hapo, Jeshi la Polisi limeudhuria 'press conference' hiyo ambapo Kamanda Richard wa Mkoa wa Kipolisi Temeke amehakikisha usalama kwa mashabiki na wachezaji, nje na ndani ya uwanja. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline