Home » People & Blogs » Vita vya Ukraine na Urusi: Hizi ndizo sababu kuu kwanini nchi za Afrika zimeamua kukaa kimya

Vita vya Ukraine na Urusi: Hizi ndizo sababu kuu kwanini nchi za Afrika zimeamua kukaa kimya

Written By Simulizi Na Sauti on Thursday, Mar 24, 2022 | 03:58 PM

 
March 24, uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umetimiza mwezi mmoja. Kwanini nchi za Afrika zimekaa kimya? Jimmy Chansa na Dj Sma kwa mara nyingine tena kwenye #TheOutsiders wanachambua kwa kina