Home » News & Politics » HATARI! WANANCHI Wavuka MTO kwa KAMBA, MWENYEKITI AKASIRISHWA - ''UHAI HAUJARIBIWI, KATENI KAMBA''..

HATARI! WANANCHI Wavuka MTO kwa KAMBA, MWENYEKITI AKASIRISHWA - ''UHAI HAUJARIBIWI, KATENI KAMBA''..

Written By Global TV Online on Sunday, Jan 16, 2022 | 03:15 AM

 
HATARI! WANANCHI Wavuka MTO kwa KAMBA, MWENYEKITI AKASIRISHWA - ''UHAI HAUJARIBIWI, KATENI KAMBA''.. Wananchi Wilayani Momba Mkoani Songwe wameiomba Serikali kukarabati kivuko kinachounganisha kata za Nzoka na kapele kupitia Vijiji vya Nzoka na Ipatikana, kutokana na kuharibika kwa kivuko hicho miaka minne iliyopita. Wakizungumza na Mwandishi wetu, Wananchi hao wamesema kwa miaka minne mfululizo imewalazimu kuvuka kwa kubembea katika waya kutokana na kukosa kabisa eneo la kuvuka baada ya kivuko kinachounganisha Vijiji hivyo kuharibiwa na magogo yaliyosombwa na Maji katika mto Momba wakati wa mvua na kusomba mbao zilikuwa ni sehemu ya daraja hilo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline