Home » News & Politics » MAUAJI MENGINE ARUSHA: HOUSE BOY ADAIWA KUMUUA BOSS WAKE NA KUPOTEA...

MAUAJI MENGINE ARUSHA: HOUSE BOY ADAIWA KUMUUA BOSS WAKE NA KUPOTEA...

Written By Wasafi Media on Wednesday, Dec 29, 2021 | 12:15 PM

 
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamsaka mfanyakazi wa Ndani ( House Boy) aliyefahamika kwa jina moja la Boniface kwa tuhuma za mauaji ya boss wake JANEROSE DEWASI umri miaka sitini na sita. Tukio hilo limetokea limebainika leo Desemba 29, 2021 eneo la Njiro jijini Arusha huku mwili wa marehemu ukionekana kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kwa mujibu wa kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Arusha Justine Masejo amasema taarifa za awali zinaonyesha kuwa mtuhumiwa huyo ana muda wa juma moja tangu alipoanza kufanya kazi na marehemu. MAUAJI MENGINE ARUSHA: HOUSE BOY ADAIWA KUMUUA BOSS WAKE NA KUPOTEA... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm