Home » News & Politics » #BREAKING: WATU 53 WAFARIKI KWA AJALI YA LORI, MIILI YATAPAKAA BARABARANI...

#BREAKING: WATU 53 WAFARIKI KWA AJALI YA LORI, MIILI YATAPAKAA BARABARANI...

Written By Global TV Online on Friday, Dec 10, 2021 | 12:30 PM

 
#BREAKING: WATU 53 WAFARIKI KWA AJALI YA LORI, MIILI YATAPAKAA BARABARANI... TAKRIBANI watu 53 wamefariki dunia na wengine 58 kujeruhiwa kufuatia lori walilokuwa wakisafiria kupata ajali mbaya baada ya kugonga daraja na kupinduka katika jimbo la Chiapas Kusini mwa Mexico. Imeelezwa kuwa takribani watu 100, waliohusika kwenye ajali hiyo wanadaiwa kuwa ni wahamiaji kutoka Marekani ya kati waliokuwa ndani ya lori hilo wakati likipata ajali. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline