Home » People & Blogs » FAHAMU DALILI ZA UCHUNGU WA KUJIFUNGUA KWA MJAMZITO

FAHAMU DALILI ZA UCHUNGU WA KUJIFUNGUA KWA MJAMZITO

Written By IPMMEDIA on Friday, Nov 05, 2021 | 11:50 AM

 
#dalilizauchungu #Kujifungua #Ipmmedia Dalili za uchungu zipo nyingi na kila mama mjamzito zinamjia kiutofauti, kuna umuhimu wa mama kuzijua. Uchungu huwa unakuja kwa masaa na kila muda unavyozidi kwenda ndipo dalili hubadilika. Kuna dalili za awali (pre -Labour ) na za mwisho. Kuzijua dalili sahihi za uchungu itakusaidia kuweza kuzitofautisha dalili sahihi za uchungu na zile ambazo si za uchungu. Tazama video hii mpaka mwisho uweze Kuzijua dalili hizo. Keywords: Dalili za uchungu wa kujifungua Dalili za mama mjamzito kutaka kujifungua Dalili za awali za uchungu Dalili za mwisho za uchungu Dalili za mimba ya kujifungua Ipm media Elimika online