Home » News & Politics » ALIKIBA ALIVYOFIKA NA GARI LA KIFAHARI, AONESHA MBWEMBWE ZAKE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

ALIKIBA ALIVYOFIKA NA GARI LA KIFAHARI, AONESHA MBWEMBWE ZAKE MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

Written By Millard Ayo on Wednesday, Sep 29, 2021 | 07:20 AM

 
Mwimbaji Star wa Bongofleva Alikiba leo amezindua cover ya Album yake mpya inayotarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 7 ya mwezi Oct mwaka huu Album hiyo imepewa jina la Only One King ambayo ni album ya 3 kwa Alikiba ikiwa ni baada ya album mbili alizozitoa miaka zaidi ya 10 iliyopita Alikiba ameahidi kutaja nyimbo zitakazopatikana katika album hiyo siku zijazo kabla ya uzinduzi. Video hii nimekusogezea ushuhudie namna alivyowasili katika Mkutano huo wa waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam.