Home » News & Politics » THE ICON NIGHT: TAZAMA LADY JAY DEE ALIVYOMPANDISHA PROF JAY KWENYE STAGE, WAIMBA PAMOJA

THE ICON NIGHT: TAZAMA LADY JAY DEE ALIVYOMPANDISHA PROF JAY KWENYE STAGE, WAIMBA PAMOJA

Written By Millard Ayo on Saturday, Aug 28, 2021 | 01:23 AM

 
NI Usiku wa Agosti 27, 2021 ambapo ilifanyika Tamasha la burudani lililopewa jina la The Icon ambalo liliwakutanisha wakongwe wawili Lady Jay Dee na Professor Jay. Shangwe hizo za burudani zilitolewa Nyumbani Lounge iliyopo Namanga Dar es Salaam, hapa nimekusogezea video hii ushuhudie kile kilichofanywa na Lady Jay Dee na Professor Jay.