Home » People & Blogs » TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.

TAMALAKI - KWAYA YA MT. GREGORY MKUU, CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE.

Written By MT.GREGORY MKUU CHUO CHA KUMBUKUMBU MWALIMU NYERERE on Monday, May 10, 2021 | 07:06 PM

 
Hii ni kwaya ya MT. GREGORY MKUU kutoka katika CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE. TAMALAKI ni moja ya nyimbo iliyomo katika Albamu yenye Nyimbo za kumsifu na Kumtukuza Bwana Mungu wetu. KARIBU TUUNGANE PAMOJA KATIKA KUUTAZAMA WIMBO HUU. Unakaribishwa pia kuwa wakala wa Nyimbo zetu, kwa mawasiliano zaidi; +225735245133 / +255620652793 Unaposikiliza wimbo huu tuombe Mwenyezi MUNGU atujalie daima moyo wa mapendo na daima tuendelee ku TAMALAKI kwa matendo yake makuu. #kwayakatoliki #ChuochaKumbukumbuyaMwalimuNyerere #tmcsmnma #jaysstudios MTUNZI; YUSTES SAUTI ORGANIST: AYUBU MYONGA