Home » News & Politics » Viwanja kusajiliwa kwa vitambulisho vya Taifa(NIDA)

Viwanja kusajiliwa kwa vitambulisho vya Taifa(NIDA)

Written By Mwananchi Digital on Friday, Mar 05, 2021 | 02:25 AM

 
li kukomesha utapeli na umiliki hewa wa ardhi nchini, Julai 1 mwaka huu serikali itaanza upya zoezi la uhakiki wa wamiliki wote wa ardhi nchini kwa kutumia taarifa zao zilizo katika Kitambulisho cha Taifa (Nida). Akizungumza mkoani hapo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kumekuwepo na migogoro na malalamiko ya wananchi kunyang'anywa ardhi na watu wasiotambulika serikalini kama wamiliki halisi wa ardhi hizo