Home » People & Blogs » Dr. Chris Mauki:Lifahamu tatizo Sonona "Depression"

Dr. Chris Mauki:Lifahamu tatizo Sonona "Depression"

Written By Chris Mauki on Monday, Jan 25, 2021 | 06:00 AM

 
Je unaijua stress na athari zake? Je unaijua Sonona "Depression". Unafahamu kwamba asilimia 65 ya watu wenye sonona hujiua? Yoyote kwenye familia yako au hata wewe anaweza kuwa mhanga endapo hamna ufahamu mzuri kuhusu tatizo hili. Nifuatilie kwenye somo hili jipya nikusaidie kufahamu kwa undani. #DrChrisMauki#Depression#Sonona