Home » News & Politics » JPM AINGILIA KATI KUVUNJWA HOTELI YA SUGU

JPM AINGILIA KATI KUVUNJWA HOTELI YA SUGU

Written By CLOUDSMEDIA on Saturday, Dec 26, 2020 | 05:26 AM

 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesitisha zoezi la Ubomoaji wa Hoteli ya Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ambayo inadaiwa kujengwa kwenye chanzo cha maji baada ya kuenea kwa uvumi kupitia kwenye mitandao ya kijamii kwamba inampango wa kuvunjwa.