Home » People & Blogs » TUONGEZEE IMANI- Kwaya ya Watakatifu Wote, Parokia ya Mt. Martin de Pores mwananyamala

TUONGEZEE IMANI- Kwaya ya Watakatifu Wote, Parokia ya Mt. Martin de Pores mwananyamala

Written By Maquinya 24 on Wednesday, Nov 25, 2020 | 12:51 AM

 
Kwaya ya vijana ya Watakatifu Wote parokia ya Mt. Martin de pores Mwananyamala inawaalika kutazama ujio wa wimbo wao mpya uitwao TUONGEZEE IMANI Naamini utakubariki na kutamani kusikiliza na kutazama tena na tena na tena karibuni sana