Home » News & Politics » Jisajili kielekroniki Na Kuwa Mwanachama Wa Chama Cha Mapinduzi. Utapata namba ya Uwanachama Wa CCM.

Jisajili kielekroniki Na Kuwa Mwanachama Wa Chama Cha Mapinduzi. Utapata namba ya Uwanachama Wa CCM.

Written By Chama Cha Mapinduzi - Official on Tuesday, Nov 17, 2020 | 12:50 AM

 
Jisajili kielekroniki Kupitia Tovuti Ya Chama Cha Mapinduzi "www.ccm.or.tz" Au Kupitia APP yetu ambayo ipo APP STORE Na PLAYSTORE kwa jina la "CCM APP" Kisha utaweza kujisajili na kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi- CCM.