Home » News & Politics » | MASOMO MASHINANI | Wanafunzi wa jamii ya Orma, Tana River wanavyosoma

| MASOMO MASHINANI | Wanafunzi wa jamii ya Orma, Tana River wanavyosoma

Written By Citizen TV Kenya on Sunday, Oct 18, 2020 | 12:46 PM

 
Wanafunzi wanaporejea shuleni, kuna wale ambao kipindi cha miezi saba wakati wakiwa nyumbani kimesababisha mabadiliko makubwa kwao kimasomo. Kwa wanafunzi Zaidi ya elfu moja katika kijiji cha Galili huko Garsen kaunti ya Tana River, Huu ulikuwa wakati mwafaka kwao kupata manufaa ya elimu. Makori Ongechi anatupasha kuhusiana na faida walizopata watoto wa jamii ya Orma baada ya kuhusishwa katika mpango wa masomo nyumbani.