Home » News & Politics » #BREAKING: MOTO Mkubwa WATEKETEZA Nyumba SINZA, MWENYE NYUMBA Akiwa KAZINI....

#BREAKING: MOTO Mkubwa WATEKETEZA Nyumba SINZA, MWENYE NYUMBA Akiwa KAZINI....

Written By Global TV Online on Monday, Oct 12, 2020 | 09:30 AM

 
#BREAKING: MOTO Mkubwa WATEKETEZA Nyumba SINZA, MWENYE NYUMBA Akiwa KAZINI.... Nyumba namba 50, iliyopo mtaa wa Sinza D, Vatican jijini Dar es salaam, imeteketea kwa moto leo Jumatatu, Oktoba 12, 2020. Imeelezwa kuwa vitu vyote vimeteketea ndani ya nyumba hiyo bila kuokolewa kutokana na nyumba kuwa imefungwa na wamiliki wake wakiwa kazini. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa…..! Endelea kufuatilia habari zetu kwa taarifa zaidi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline