Home » Entertainment » Maalim Seif 'aianika' mipango ya Magufuli kwa Z'bar

Maalim Seif 'aianika' mipango ya Magufuli kwa Z'bar

Written By Weyani Tv on Sunday, Aug 30, 2020 | 07:26 AM

 
Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo na mgombea wa urais wa Zanzibar kwa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, leo amechukuwa fomu ya uteuzi kutoka Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), ambapo katika salamu zake kwa wafuasi wake amesema kwamba anafahamu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais John Magufuli, ana dhamira ya kuendelea kusalia madarakani hata muhula wake kumalizika na pia anataka kufuta muundo wa serikali mbili uliopo sasa na kuanzisha Muungano wa Serikali Moja. Msikilize hapa.