Home » Entertainment » KASUMBA ''Sehemu ya Kwanza''

KASUMBA ''Sehemu ya Kwanza''

Written By Madebe Lidai on Monday, Aug 24, 2020 | 06:21 AM

 
#MADEBE_LIDAI #NABIImswahili #Chanuo_Nchakali Hii ni Filamu inayofundisha namna ya kuishi kwenye ndoa kwa ustamilivu bila ya tamaa,kisha inatoa funzo la matokeo ya Tamaa kama utaiendekeza huku ukipambana na jinsia yako