Home » Sports » NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Charles Hilary na miaka 40 ya utangazaji yenye milima na mabonde

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Charles Hilary na miaka 40 ya utangazaji yenye milima na mabonde

Written By Azam TV on Thursday, Jul 02, 2020 | 04:07 PM

 
Mkurugenzi wa Azam FM Charles Hilary leo amekutana na Baruan Muhuza na kufunguka kila kitu kuhusu maisha yake ya utangazaji kwa kipindi cha miaka 40 ambacho amefanya kazi hiyo. Ameeleza historia yake jinsi alivyoanza kazi Radio Tanzania Dar es Salaam, Radio One hadi BBC na kisha kurejea Tanzania katika kampuni ya Azam Media. Charles pia amefichua timu anayoipenda kati ya Simba na Yanga. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz