Home » News & Politics » 🔴#BREAKING: RAIS MAGUFULI, MKEWE WAFIKA MSIBANI, Wasaini KITABU na KUTOA POLE KWA MAMA MKAPA

🔴#BREAKING: RAIS MAGUFULI, MKEWE WAFIKA MSIBANI, Wasaini KITABU na KUTOA POLE KWA MAMA MKAPA

Written By Global TV Online on Saturday, Jul 25, 2020 | 11:13 AM

 
🔴#BREAKING: RAIS MAGUFULI, MKEWE WAFIKA MSIBANI, Wasaini KITABU na KUTOA POLE KWA MAMA MKAPA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli pamoja na mkewe, wamefika nyumbani kwa Rais Mstaafu Mkapa kwa ajili ya kutoa pole kwa wafiwa baada ya kuondokewa na Mpendwa wao Hayati Benjamini William Mkapa.. Julai 24, 2020 majira ya saa 6:25 usiku rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli alilitangazia taifa msiba mkubwa wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, hayati Benjamini William Mkapa na kutangaza siku saba za maombolezo... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline