Home » Pets & Animals » Nyoka anayeongoza kuuwa watu wengi Duniani

Nyoka anayeongoza kuuwa watu wengi Duniani

Written By TRUE STORY ya leo🇹🇿 on Friday, Jun 05, 2020 | 07:04 AM

 
Huyu ndio nyoka hatari na mwenye sumu kali ya kuweza kuuwa watu zaidi ya 20,000 kwa mwaka mmoja duniani. Pia nyoka huyu ndiye anayeongoza kuwa na mwendokasi (speed) kubwa zaidi kuliko nyoka wote duniani.