Home » News & Politics » Maambukizi ya korona yaongezeka huku wahudumu wa afya wakiwa miongoni mwa waathiriwa

Maambukizi ya korona yaongezeka huku wahudumu wa afya wakiwa miongoni mwa waathiriwa

Written By KTN News Kenya on Monday, Jun 08, 2020 | 12:41 PM

 
Wahudumu wa afya wameendelea kuwa katika orodha ya wanaoambukizwa ugonjwa wa korona, kwa uhaba wa magwanda ya kujikinga. Haya yamethibitika huku wahudumu wa afya watatu zaidi wakiongezeka na kufikisha idadi ya matabibu walioambukizwa kufikia 84 tangu mawimbi ya korona kuitikisa nchi. Haya yanajiri huku watu 97 wakiruhusiwa kwenda manyumbani baada ya kupona homa hiyo kali. #Kenya #KTNNews #KTNPrime #COVID19 #CoronaVirus SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKE Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: https://play.google.com/store/apps/details?id=ke.co.group.standard.thestandardkenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.