Home » News & Politics » #DL KENYA YAPATA PIGO KUBWA SANA KATIKA SEKTA YA UTALII

#DL KENYA YAPATA PIGO KUBWA SANA KATIKA SEKTA YA UTALII

Written By VOA Swahili on Thursday, Jun 25, 2020 | 03:48 PM

 
Idadi kubwa ya wanyama pori duniani ni zaidi ya milioni mbili, nchini Kenya hakuna watalii wengi wanaojitokeza kujionea uzuri wa kipekee katika hifadhi mbali mbali. Kwa kawaida kipindi hiki ni chenye shughuli nyingi kwa Safarilink Aviation, wakiwa na takriban safari za ndege 15 kwa siku kupeleka watalii wa kimataifa kwenye maeneo ya ndani ya hifadhi nchini Kenya. Hata hivyo, ndege zao hivi sasa hazifanyi kazi yeyote zimekaa tu kwenye uwanja wa ndege wa Wilson mjini Nairobi. Khadija Riyami anaripoti kamili.#Kiswahili ya Sauti ya #Amerika #Washington.D.C #DunianiLeo #VOA #VOASwahili #Corona #Covid19. #DC