Home » News & Politics » MPYA: Ujenzi 'flyover' Ubungo moto, matumizi yake ni suala la muda

MPYA: Ujenzi 'flyover' Ubungo moto, matumizi yake ni suala la muda

Written By Daily News Digital on Tuesday, May 05, 2020 | 09:37 AM

 
#Ubungo #DarEsSalaam #Daraja #UbungoInterchange WATAALAM walianza kufanya upembuzi yakinifu. Baadae Mkandarasi akaingia eneo la kazi na kuanza kazi pevu ya kujenga Daraja la juu na la kisasa Ubungo. Ikumbukwe kuwa serikali imenuia kuboresha miundombinu ya barabara ikiwemo kutanua barabara, kujenga barabara mpya au madaraja ya kisasa kwa lengo la kupunguza foleni kwa lengo la kurahisisha usafirishaji. @Daily News Digital