Home » News & Politics » WADHAMINI wa LISSU WANAJUTA! WAAGIZWA Wamlete LISSU Mahakamani

WADHAMINI wa LISSU WANAJUTA! WAAGIZWA Wamlete LISSU Mahakamani

Written By Global TV Online on Friday, Feb 21, 2020 | 09:09 AM

 
WADHAMINI wa LISSU WANAJUTA! WAAGIZWA Wamlete LISSU Mahakamani Upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili aliyekua Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu umeomba muda wa wiki mbili kupitia maombi yaliyowasilishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hapo jana na wadhamini wa mshitakiwa huyo. Mahakama ilitarajiwa hiyo kupitia vifungu vya sheria ili kuona kama sheria zinaruhusu wadhamini hao kuomba kibali cha kukamatwa kwa mshtakiwa huyo na wao kujitoa kwenye udhamini. Wakili wa serikali Wankyo Simon amedai upande wa mashitka unahitaji muda wa kutosha kuyapitia maombi hayo ikiwemo kiapo kinzani cha wadhamini hao. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline