Home » News & Politics » | MWANAMKE BOMBA | Diana Aupe Naker - rubani wa ndege za kivita

| MWANAMKE BOMBA | Diana Aupe Naker - rubani wa ndege za kivita

Written By Citizen TV Kenya on Tuesday, Feb 18, 2020 | 11:35 AM

 
Katika vikosi vya ulinzi humu nchini, kuna wanawake wengi tu waliobobea katika vitengo na sekta mbalimbali. Na hii leo kwenye Mwanamke Bomba, mwenzangu Mwanahamisi Hamadi alipata fursa ya kuzungumza na baadhi yao na hii hapa simulizi yake #MwanamkeBomba #DianaAupeNaker