Home » News & Politics » MTI wa AJABU Waonekana KISARAWE...MBUZI Akiula ANAKUFA!

MTI wa AJABU Waonekana KISARAWE...MBUZI Akiula ANAKUFA!

Written By Global TV Online on Thursday, Jan 23, 2020 | 12:32 PM

 
MTI wa AJABU Waonekana KISARAWE...MBUZI Akiula ANAKUFA! Wiki iliyopita wakati Balozi wa Utalii Nchini, Nangasu Warema akiwa ameambatana na baadhi ya wasanii akiwemo, Kulwa Kikumba 'Dude' na Imini Mwinyimkuu Kaimu Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services (TFS) TFS Wilaya ya Kisarawe, Bonaventura Mosha aliwaeleza misitu inayopatikana katika msitu tengefu unaohifadhiwa na wakala hao kuwa ni pamoja na mti aina ya minaki ambayo ndiyo iliyopelekewa hata jina la shule ya Minaki Sekondari kuitwa. GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li