Home » Entertainment » Kutana na Mwanamitindo Billionaire mwenye ulemavu wa ngozi "Winnie Harlow

Kutana na Mwanamitindo Billionaire mwenye ulemavu wa ngozi "Winnie Harlow

Written By Storm Africa on Sunday, Jan 19, 2020 | 10:44 AM

 
Winnie Harlow ni mwanamitindo wa kwanza mwenye ulemavu wa nguvu aliefanikiwa kufata ndoto yake bila kujali changamoto alizokua nazo kwenye ngozi