Home » News & Politics » Shuhudia bendera ya taifa ilivyopelekwa kilele cha Mlima Kilimanjaro

Shuhudia bendera ya taifa ilivyopelekwa kilele cha Mlima Kilimanjaro

Written By EastAfricaTV on Wednesday, Dec 11, 2019 | 03:46 AM

 
#EATV Kundi maalum lililopanda mlima Kilimanjaro kuanzia Dec 5-9, kupeleka bendera ya taifa katika kilele cha mlima huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru limefanikiwa kufikisha bendera hiyo kileleni.