Home » Sports » TAMBO Za ANTONIO NUGAZ Akiisemea YANGA - "WAARABU Wanakufa 3, MANARA Mtoto MDOGO"

TAMBO Za ANTONIO NUGAZ Akiisemea YANGA - "WAARABU Wanakufa 3, MANARA Mtoto MDOGO"

Written By Global TV Online on Tuesday, Oct 22, 2019 | 04:19 AM

 
TAMBO Za ANTONIO NUGAZ Akiisemea YANGA - "WAARABU Wanakufa 3, MANARA Mtoto MDOGO" Afisa Muhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz, amesema kuwa ni lazima Yanga ishinde mchezo wake wa nyumbani dhidi ya Pyramid ili wajihakikishie nafasi ya kuingia kwenye makundi na wakifika Misri wakakamilishe ratiba. Aidha katika upande wa uhamasishaji na tambo za Simba na Yanga, Nugaz alimfungukia Msemaji wa Simba, Haji Manara, kwa kumwambia kuwa Simba imetoka kwenye ubavu wa Yanga hivyo basi anapaswa kuiheshimu sana Yanga. Nugaz aliongeza kuwa, mchezo wao wa leo dhidi ya Mbao FC watautumia kama daraja kuelekea katika mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Pyramid huku akisisitiza kuwa Mbao FC ni timu ndogo na haiwasumbui kwa sababu hata msimu uliopita waliwafunga Mbao FC. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEWS: https://www.youtube.com/playlist?li