Home » People & Blogs » KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA EVENING GLORY 22/10/2019

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA EVENING GLORY 22/10/2019

Written By Rev. Dr. Eliona Kimaro on Tuesday, Oct 22, 2019 | 01:50 PM

 
KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA EVENING GLORY 22/10/2019 UJUMBE WA LEO " WATU WALIOIBIWA , WAFUNGWA NA MATEKA WA KIROHO " Isaya 42 : 22 1 Yohana 3 : 8b Isaya 8 : 10 Ayubu 20 : 14 - 16 Isaya 42 : 22 22 Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha. 1 Yohana 3 : 8b 8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi. Isaya 8 : 10 10 Fanyeni shauri pamoja, nalo litabatilika; Semeni neno, lakini halitasimama; Kwa maana Mungu yu pamoja nasi. Ayubu 20 : 14 - 16 14 Hata hivyo chakula chake matumboni mwake kinabadilika, Kimekuwa ni nyongo za majoka ndani yake. 15 Amemeza mali, naye atayatapika tena; Mungu atayatoa tumboni mwake. 16 Ataamwa sumu ya majoka; Na ulimi wa fira utamwua. Mhubiri : Rev Victor Makundi Kwa maombi na ushauri : Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: [email protected]