Home » People & Blogs » Efraim ezekiel- Nafsi yangu(officail Video)SMS SKIZA 7618943 TO 811 TO GET THIS SONG.

Efraim ezekiel- Nafsi yangu(officail Video)SMS SKIZA 7618943 TO 811 TO GET THIS SONG.

Written By Efraim Ezekiel on Friday, Oct 18, 2019 | 07:01 PM

 
AVAILABLE ON SKIZA Skizacode:7618943 Producer: Oggy Kys Matendo ya MItume 1:8 Lakini mtapokea nguvu,akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu;nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria ,na hata mwisho wa nchi. Matendo2:4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu,wakaanza kusema kwa lugha nyingine,kama Roho alivyowajalia kutamka. Namshukuru Mungu kwa kunijalia kuimba huu wimbo naomba uwe baraka kwako Roho Mtakatifu awe msaidizi wako kila siku kwa yote ufanyayo. Available on: Facebook:Efraim Ezekiel Instagram:Efraim ezekiel(PHD) Thank you fou subscribing on this channel #EfraimEzekiel #GospalSongs #PHD #Holy Sprit.Channel Administered by Huru Digital Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/