Home » People & Blogs » AISHI AKIWA NA JINSIA MBILI HOSTEL ZA WASICHANA!

AISHI AKIWA NA JINSIA MBILI HOSTEL ZA WASICHANA!

Written By Global TV Online on Tuesday, Sep 03, 2019 | 01:30 PM

 
AISHI AKIWA NA JINSIA MBILI HOSTEL ZA WASICHANA! Kulikuwa na hali ya sintofahamu wakati Mary Waithera au James Karanja alipozaliwa mwaka 1991. Wakati akizaliwa, wakunga walinyamaza wasijue cha kumwambia mama yake ambaye alikuwa na shauku kubwa. Ukweli ni kwamba, Mary Waithera au James alizaliwa akiwa na jinsia mbili yaani ya kiume na ya kike. Mama yake akataka kujua sababu za mwanaye kuzaliwa akiwa hivyo. #azaliwanajinsiambili https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho