Home » People & Blogs » Historia Nzima ya Mtakatifu wa kwanza Mtanzania, Historia yake inasisimua

Historia Nzima ya Mtakatifu wa kwanza Mtanzania, Historia yake inasisimua

Written By Breez Online Tv on Monday, Aug 05, 2019 | 10:00 PM

 
Mtakatifu John Maria Muzeyi ni Mtanzania wa kwanza kuwa Mtakatifu na hadi sasa yupo peke yake. Alikuwa ni miongoni mwa mashaidi wa Uganda na hakika hii ni Historia yake ikiwa imedadavuliwa kwa kina zaidi.