Home » News & Politics » TESTMONY: Aliyebakwa na PADRI Asimulia, "nimefungwa jela miaka 6 bila hatia"

TESTMONY: Aliyebakwa na PADRI Asimulia, "nimefungwa jela miaka 6 bila hatia"

Written By Global TV Online on Wednesday, Jul 31, 2019 | 07:57 AM

 
TESTMONY: Mwanamke ALIYEBAKWA na PADRI, ASIMULIA "Aliniambia Nimguse Mwili Wake" Huu ni ushuhuda wa Khadija, mwanamke aliyepitia changamoto mbalimbali katika maisha yake ikiwa pamoja na kushuhudia majanga mbalimbali katika vita vya wahutu na wa Tusi. Katika harakati za kutafuta maisha yake alijikuta akiingia katikan majanga mengi iiwa pamoja na kubakwa na kiongozi wa dini aliyetaka kumpa msaada. Lakini pia Khadija alifungwa jela miaka 6 pasipo kuwa na makosa. Na hii ni sehemu ya kwanza ya ushuhuda wake. #ABAKWANAPADRI https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/ Category Travel & Events