Home » News & Politics » Mfanyabiashara aliyeombwa rushwa na watumishi wa Serikali huyu hapa

Mfanyabiashara aliyeombwa rushwa na watumishi wa Serikali huyu hapa

Written By Azam TV on Monday, Jun 10, 2019 | 06:28 AM

 
Baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara na kisha mmoja wa wafanyabiashara hao kuelezea kadhi aliyopitia ya kuombwa rushwa na maafisa wa taasisi za serikali ikiwemo jeshi la polisi na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) tumemtafuta ili kufahamu mengi zaidi. Ungana na Jamal Hashim akiwa na mfanyabiashara huyo Ramadhan Hamis.