Home » Entertainment » Mbunge Lusinde Awawashia Moto Wabunge wa Viti Maalum CHADEMA | Wanalipishwa Milioni 1.5 kwa Mwezi

Mbunge Lusinde Awawashia Moto Wabunge wa Viti Maalum CHADEMA | Wanalipishwa Milioni 1.5 kwa Mwezi

Written By CLOUDSMEDIA on Tuesday, Jun 25, 2019 | 07:57 AM

 
Mbunge wa Mtera (CCM) Livingstone Lusinde ALMAARUFU Kibajaji amewashukia wabunge wa viti maalum wa CHADEMA kuwa wanalipishwa Shilingi Milioni 1.5 kila mwezi, jambo alilolieleza kuwa ni sawa na kulipa kodi ya pango kwenye chama hicho