Home » News & Politics » Nabii Tito aibuka tena, akiri kutumika kuangamiza

Nabii Tito aibuka tena, akiri kutumika kuangamiza

Written By EastAfricaTV on Wednesday, May 01, 2019 | 06:32 AM

 
Mtanzania mmoja anayejulikana kwa jina la Tito Machibya maarufu kama 'Nabii Tito', ameibuka tena na kudai kwamba kwa sasa yeye ameokoka, na kwamba Roho Mtakatifu ndiye anamuongoza kwenye maisha yake kwa sasa. #NabiiTito