Home » People & Blogs » Jamaa akutwa UCHI akifukua KABURI mchana Kweupeee,Wananchi wamshushia kipigo

Jamaa akutwa UCHI akifukua KABURI mchana Kweupeee,Wananchi wamshushia kipigo

Written By Cg Online Tv on Monday, May 20, 2019 | 03:51 PM

 
#CgOnlineTv #AkutwaUchiAkifukuaKaburi Mtu Mmoja aliyejulikana kama Mganga wa kienyeji amekutwa makaburi mchana akiwa uchi wa nyama, Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Misha kata ya Misha Manispaa ya Tabora Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora EMMANUEL NLEY amefafanua lakini pia Cg Online Tv imefika katika kijiji hicho na kuzungumza na Mashuhuda wa Tukio hilo