Home » News & Politics » Yafahamu magonjwa yanayo waathiri wanaume sehemu za siri?

Yafahamu magonjwa yanayo waathiri wanaume sehemu za siri?

Written By BBC News Swahili on Monday, Apr 15, 2019 | 03:30 AM

 
Baadhi ya wanaume wanapokuwa na matatizo ya kiafya hasa sehemu za siri huwa na hofu sana kuweka wazi kwa madaktari. Hapa daktari anafafanua baadhi ya magonjwa katika sehemu za siri za mwanaume.