Home » People & Blogs » UWEPO WA MUNGU WASHUKA LIVE KATIKA MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU KANISA LA UKOMBOZI DAR, TEGETA

UWEPO WA MUNGU WASHUKA LIVE KATIKA MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU KANISA LA UKOMBOZI DAR, TEGETA

Written By Efraim Ezekiel on Wednesday, Apr 03, 2019 | 04:02 AM

 
Mkesha uliongozwa na Live Band ya Kanisa la Ukombozi Dar, Tegeta chini ya muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Efraim Ezekiel PHD, hakika uwepo wa Mungu ulionekana baada ya mmoja wa waimbaji katika Band hiyo, Bw John Gabriel kuwaongoza watu nyimbo za sifa kwa Mungu aliye juu Mbinguni. Kanisa la Ukombozi Dar es Salaam, Tegeta linaongozwa na Mtumishi wa Mungu, Mwana wa Nabii BG Malisa PASTOR TETEMEKO, ambalo makao makuu yake yapo Mwanza Michungwani.Channel Administered by Huru Digital Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/