Home » People & Blogs » Pasha - Thamani ya penzi(official video)

Pasha - Thamani ya penzi(official video)

Written By Pasha Mtepa on Monday, Apr 08, 2019 | 09:17 AM

 
Mapenz yamechukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu hata wakati yanapokwenda ndivyo sivyo kwa upande wako unaweza kushindwa kufanya kazi kabisa au hata kushindwa kula.katika wimbo huu pasha anambembeleza mpenz wake amsamehe makosa aliyomtendea kwani anajutia kufanya hivyo anamsihi asikumuhukumu kwa mabaya aliyomfanyia bali akumbuke na yale mazuri aliyowahi kumfanyia #pasha - #thamaniyapenzi Produced by Geof master &Kgt shadeed Director-pablo For bookings: Call:+255653597070 Email:[email protected] Follow pashamtepa on Instagram:http://www.instagram.com/pashamtepa/ Facebook:http://www.facebook.com/pashamtepa/