Home » News & Politics » Mahakama Kuu kuamua hatima dhamana ya Mbowe na Matiko kesho

Mahakama Kuu kuamua hatima dhamana ya Mbowe na Matiko kesho

Written By Azam TV on Wednesday, Mar 06, 2019 | 12:56 PM

 
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa uamuzi wa rufani ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko kama wataendelea na dhamana au la. #AzamNews #Mbowe #Matiko