Home » People & Blogs » Zifahamu dalili za Kisonono kwa Mwanaume na mwanamke

Zifahamu dalili za Kisonono kwa Mwanaume na mwanamke

Written By Dr Method, tee on Saturday, Feb 09, 2019 | 10:09 AM

 
Magonjwa ya Zinaa Ni Magonjwa yanayo enezwa kwa kufanya Ngono isiyo salama, Magonjwa haya yapo ya Aina nyingi na yanashambulia sehemu mbalimbali za mwilii ikiwemo midomo, sehemu za Siri nk. Na watu wengi wamekua wakijiuguza Magonjwa haya kisirisiri kwasababu pengine Ni Aibu kutokana na namna yanavyo enezwa napengine Ni uoga....Je? Uko tayari kunifunza zaidi juu ya Magonjwa haya? Usiondoke katika page hii na pia usisahau kujifunza kupitia videos kwa kusubscribe You tube channel hii..pia share na wengine waweze kujifunza... karibuni saaana.... Maswali yote yanajibiwa na ushauri pia unapokelewa 🙏 #livehealthyincreaselifespan #livehealthyincreaselifespan #saynotostds