Home » News & Politics » Wakili Manyama Amshukia Tundu lissu, Adai Bunge Limfukuze

Wakili Manyama Amshukia Tundu lissu, Adai Bunge Limfukuze

Written By Global TV Online on Monday, Feb 04, 2019 | 11:11 AM

 
Wakili Manyama Amshukia Tundu lissu, Adai Bunge Limfukuze WAKILI wa Kujitegemea, Leonard Manyama amemshukuia Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwa anapaswa kuwa mzalendo wa Taifa lake na si kulichafua taifa lake katika mataifa mengine. Amedai kuwa Bunge linapaswa kumchukulia hatu kwa kumfukuza ubunge wake na kurudia tena uchaguzi katika jimbo lake kwani kwenda nje ya nchi kufanya ziara za kulizungumzia taifa kwa mabaya ni kuichafua nchi ni kukiuaka uzalendo wa taifa. ANGALIA HIZI PIA: ONA ALICHOFANYIWA NA HUYU DADA WAKATI ANATAKA KUTUMBULIWA JIPU : https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho