Home » News & Politics » Serikali yafuta kodi ya pango la ardhi kwa Taasisi na Madhehebu ya dini

Serikali yafuta kodi ya pango la ardhi kwa Taasisi na Madhehebu ya dini

Written By Azam TV on Monday, Jan 28, 2019 | 01:54 AM

 
Serikali imefuta kodi ya pango la ardhi kwa Taasisi na Madhehebu ya dini nchini kuanzia mwaka wa fedha wa 2018/2019.